

Asprixen
- Rate R200
- Response 1h

R200/h
1st lesson free
- Swahili
Jifunze Kiswahili cha Tanzania kwa urahisi, kujiamini na mazungumzo halisi ya kila siku
- Swahili
Lesson location
About Asprixen
Habari! Mimi ni Mtanzania ninayezungumza Kiswahili kwa ufasaha na ninafurahia kuwasaidia watu kujifunza lugha yangu. Mimi ni mwanafunzi, hivyo ninaelewa umuhimu wa kujifunza kwa njia rahisi na yenye kuvutia.
Ninaweza kukusaidia kujifunza Kiswahili cha kila siku, kuimarisha matamshi, kuongeza msamiati na kujiamini katika mazungumzo. Tutajifunza kwa utulivu na kulingana na kiwango pamoja na malengo yako.
Karibu tujifunze Kiswahili pamoja!
About the lesson
- Primary
- Secondary
- Matric/GCSE
- +17
levels :
Primary
Secondary
Matric/GCSE
AS Level
BTech
Adult education
Undergraduate
Masters
Doctorate
MBA
A1
A2
B1
B2
C1
C2
Beginner
Intermediate
Advanced
Kids
- English
Languages in which the lesson is available :
English
Nitakufundisha lugha ya Kiswahili ya Tanzania kwa njia rahisi na ya kufurahisha. Tutajifunza maneno, misemo,sarufi, matamshi na mazungumzo ya kila siku, kulingana na kiwango na malengo yako. Lengo langu ni kukusaidia kuzungumza Kiswahili kwa ujasiri kwa jumuiya/mkusanyiko na kwa ufasaha.
Rates
Rate
- R200
Package rates
- 5h: R1000
- 10h: R2000
free lesson
The free first lesson with Asprixen allows you to get to know the tutor and discuss your needs and expectations.
- 1h
online
- R200/h
Similar Swahili tutor profiles
Chihebe
Johannesburg & online
- R300/h
- 1st lesson free
Alex
Cape Town & online
- R300/h
- 1st lesson free
Patrick d'Alliance
Cape Town & online
- R250/h
- 1st lesson free
Sally
Cape Town & online
- R150/h
- 1st lesson free
Kerimbout
Midrand & online
- R400/h
- 1st lesson free
Stephen
Johannesburg & online
- R250/h
- 1st lesson free
Ilham
Pietermaritzburg & online
- R350/h
- 1st lesson free
Sharon
Vanderbijlpark & online
- R200/h
- 1st lesson free
Spe
Roodepoort & online
- R200/h
- 1st lesson free
Dr Simon
Gqeberha & online
- R250/h
- 1st lesson free
Robin
Cape Town & online
- R330/h
- 1st lesson free
Monalisa
Johannesburg South & online
- R100/h
- 1st lesson free
Kudzi
Pretoria & online
- R150/h
- 1st lesson free
Vivian
Johannesburg & online
- R200/h
- 1st lesson free
Ramadhani
Pretoria & online
- R199/h
- 1st lesson free
Jackline
Cape Town & online
- R254/h
- 1st lesson free
Grace
Roodepoort & online
- R300/h
- 1st lesson free
Okenden
Sandton & online
- R300/h
- 1st lesson free
Nicholas
Johannesburg & online
- R325/h
- 1st lesson free
Eric
Vosloorus & online
- R283/h
- 1st lesson free
-
See Swahili tutors
