

Abednego
- Rate R310
- Response 1h

R310/h
1st lesson free
- Swahili
Habari karibu sana kwa majina naitwa AbednegoMasha, ni kijana Na pia nina umri wa miaka 27 mimi ni mtanzania pia napenda kufundisha Watu kote duniani kiswahili fasaha kabisa karibu sana
- Swahili
Lesson location
About Abednego
Mimi nikijana wa kitanzania pia naipenda nchi yangu na pia nawapenda wote pia Napenda kufundisha kiswahili ili kizidi kuenea kote ulimwenguni hata siku ukiamua kuja kutembelea Nchi yangu Tanzania unakuwa unajiamini sababu hakuna mtu ataweza kukusema pembeni kwa sababu utakuwa umekwisha ifahamu lugha kipenzi changu
About the lesson
- All levels
- English
Languages in which the lesson is available :
English
Nafundisha kiswahili fasaha kwa njia zote kwanza kabisa kwa kuandika na pili kwa kuzungumza pia nanitahakikisha unakifahamu vizuri na wewe hapo baadae uje kuwa mwalimu mzuri wa kiswahili fasaha ntakufundisha kitenzi nomino nakadhalika ni rahisi mno amini kwamba unaweza kukifahamu kiswahili vizuri
Rates
Rate
- R310
Package rates
- 5h: R1550
- 10h: R3100
online
- R310/h
free lesson
The free first lesson with Abednego allows you to get to know the tutor and discuss your needs and expectations.
- 1h
Similar Swahili tutor profiles
Chihebe
Johannesburg & online
- R300/h
- 1st lesson free
Patrick d'Alliance
Cape Town & online
- R250/h
- 1st lesson free
Alex
Cape Town & online
- R300/h
Sally
Cape Town & online
- R150/h
- 1st lesson free
Kerimbout
Midrand & online
- R400/h
- 1st lesson free
Ilham
Pietermaritzburg & online
- R350/h
- 1st lesson free
Spe
Roodepoort & online
- R200/h
- 1st lesson free
Zamuxolo
Cape Town & online
- R150/h
- 1st lesson free
Robin
Cape Town & online
- R330/h
- 1st lesson free
Kudzi
Pretoria & online
- R150/h
- 1st lesson free
Vivian
Johannesburg & online
- R200/h
- 1st lesson free
Grace
Roodepoort & online
- R300/h
- 1st lesson free
Okenden
Sandton & online
- R300/h
- 1st lesson free
Nicholas
Johannesburg & online
- R325/h
- 1st lesson free
Eric
Vosloorus & online
- R283/h
- 1st lesson free
Faraji
Springs & online
- R95/h
- 1st lesson free
Kabumba
Johannesburg
- R250/h
- 1st lesson free
Lisa
Gqeberha & online
- R220/h
- 1st lesson free
Rigobert
Champigny-sur-Marne, France & online
- R679/h
- 1st lesson free
KHABELWA
Killarney, Australia & online
- R178/h
- 1st lesson free
-
See Swahili tutors
